Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye maadhimisho ya siku ya Msanii yaliyofanyika juzi usiku Octoba 25-2014 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi tunzo Edward Said Tingatinga msanii aliyejitolea maisha yake kwa Jamii, kwenye maadhimisho ya siku ya Msanii
yaliyofanyika juzi usiku Octoba 25-2014 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam
yaliyofanyika juzi usiku Octoba 25-2014 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi tunzo Josephat Kanuti msanii aliyejitolea maisha yake katika tasnia ya sanaa Nchini, kwenye maadhimisho ya siku ya Msanii yaliyofanyika juzi usiku Octoba 25-2014 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Wasanii na wananchi mbalimbali waliohudhuria kwenye maadhimisho hayo wakifuatilia kwa karibu matukio mbalimbali yaliyokuwa yakifanyika kwenye ukumbi huo.
No comments:
Post a Comment