Habari za Punde

*MTIBWA SUGAR ILIVYOICHAPA MBEYA CITY NYUMBANI KWAKE JANA 2-0

Wachezi wa Mtibwa Sugar, wakishangilia moja ya bao kati ya mawili waliyoifungwa Mbeya City wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. Katika mchezo huo Mtibwa Sugar iliibuka kidedea kwa mabao 2-0.
Beki wa Mbeye City, Deogratius Julius, akiondosha mpira wa hatari mbele ya mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Mussa Hassan Mgosi, wakati wa mchezo huo. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.