Habari za Punde

*BONDIA THOMAS MASHALI ASAINI KUZIPIGA NA ABDALLAH PAZI JANUAR MOSI 2015 FRENDS CORNER


Bondia Thomasi Mashali (kushoto) akisaini mkataba wa makubaliano ya kuzichapa na Thomasi Mashali (kushoto) pambano linalotarajia kufanyika Januari mosi mwakani katika ukumbi wa frends corner manzese jijini Dae es salaam (katikati) ni Promota Kassim Texas.
 Bondia Abbdallah Pazi (kulia) akisaini mkataba wa makubaliano ya kuzichapa na Thomasi Mashali (kushoto) pambano linalotarajia kufanyika Januari mosi mwakani katika ukumbi wa frends corner manzese jijini Dae es salaam (katikati) ni Promota Kassim Texas. 
Bondia Thomasi Mashali (kushoto) akitunishiana misuli na Abdallah Pazi baada ya makubaliano ya pambano lao litakalofanyika January Mosi 2015 katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es salaam. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.