Habari za Punde

*BREAKING NEEEEEWZ!!!!! JENGO LA MACHINGA COMPLEX LINAWAKA MOTO MUDA HUU

HABARI ZILIZOTUFIKIA CHUMBA CHA HABARI CHA MTANDAO HUU ZINASEMA KUWA JENGO LA BIASHARA LA MACHINGA COMPLEX LILILOPO MAENEO YA ILALA KARUME LINAWAKA MOTO MUDA HUU NA BADO JITIHADA ZA KUZIMA MOTO HUO ZINAENDELEA. HAIKUWEZA KUFAHAMIKA KWA HARAKA CHANZO CHA AJALI HIYO. TUTAENDELEA KUWAJUZA KADRI HABARI ZITAKAVYOTUFIKIA.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.