Ajali nyingine imetokea leo Kijiji cha Ibingo Kata ya Samuye, huko mkoani Shinyanga iliyohusisha Basi la Unit na Roli la Kampuni ua Cocacola, ambapo imeelezwa kuwa ajali hiyo imeua jumla ya watu 10 na kujeruhi zaidi ya watu 40.
Basi hilo likiinuliwa.


No comments:
Post a Comment