Habari za Punde

*KUTOKA UWANJA WA TAIFA, YANGA INAONGOZA MABAO 2-1 NI MAPUMZIKO

Kipa wa Yanga, Deogratius Munish, 'Dida', akiruka kudaka mpira wa hatari langoni kwake, wakati wa kipindi cha kwanza. Mpaka sasa yanga inaongoza mabao 2-1 na sasa ni mapumziko.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.