Mgombea Mwenza wa Urais kwa timeti ya CCM, Mama Samia Suluh Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika eneo la Kisesa jana katika jimbo la Magu mkoani Mwanza
Wananchi wakimshangilia mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipohutubia mkutano wa kampeni katika eneo la Kisesa jimbo la Magu mkoani Mwanza.
Wananchi wakiwa wamezuia msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu, katika eneo la Sumve mkoani Mwanza.
Mbwa akipiga Push Up katikati ya watu, kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika, eneo la Kisesa katika jimbo la Magu mkoani Mwanza. KUSOMA ZAIDI BOFYA READ MORE
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Anthony Diallo (kulia) akijadiliana jambo na Katibu wa CCM wa mkoa huo, Miraji Mtaturu (kushoti) katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika eneo la Kisesa, jimbo la Magu mkoani Mwanza. Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Baraka Konisaga.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akijadiliana jambo na Mgombea Ubunge jimbo la Magu, Kiswaga Destery katika mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Kisesa mkoani Mwanza.
Kijana akiwa na bango la kumfagilia Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika eneo la Kisesa jimbo la Magu mkoani Mwanza.
Wagombea Udiwani jimbo la Magu, wakiwasalimia wananchi walipotambulishwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Katika mkutano wa kampeni uliofayika katika eneo la Kisesa mkoani Mwanza.
Pichani juu ni mgombea mwenza wa nafasi ya urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi baada ya kusimamishwa barabarani katika Jimbo la Sumve alipokuwa akipita kuelekea Wilaya ya Magu katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kata ya Kisesa Jimbo la Magu.
![]() |
| Mkutano wa hadhara ukiendelea Jimbo la Kwimba |
![]() |
| Baadhi ya wanaCCM na makada wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa na mabango yenye jumbe anuai kwa mgombea mwenza kwenye mkutano wa hadhara Mji mdogo wa Ngudu. |
![]() |
| Moja ya kikundi sanaa (kwaya) kikiwaburudisha wananchi na wanaCCM wa Kata ya Kisesa katika mkutano wa hadhara wa kampeni za mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan. |






















No comments:
Post a Comment