Habari za Punde

*MV.MAGOGONI ILIVYO WADUWAZA ABIRIA ILIPOPATWA NA HITILAFU

 Wananchi wakipigana vikumbo wakati walipokuwa wakishuka katika MV. Kigamboni na huku wengine wakiingia kwa kuhofia kubaki baada kwa wingi wa watu
 Abiria wakishuka 
  Wananchi waliokuwa wakisubiri kuingia kwenye usafiri huo wa MV. Kigamboni wakiwa na Baiskeli zao, lakini wenye Magari walitahadharishwa na kutakiwa kupita daraja jipya
  Wananchi wakiwa katika mshangao

 MV. Kigamboni ikiwa inashusha upande wa Kigamboni
Taswira katika muonekano wa  MV. Magogoni  na MV. Kigamboni

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.