Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiapishwa kuwa Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam leo.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiapishwa.
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua gwaride liloandalia rasmi baada ya kuapishwa

Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, akiwasili Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam,leo wakati wa sherehe za kuapishwa Rais mpya wa awamu ya tano Dkt. John Magufuli.
Rais Jakaya akipigiwa mizinga 21... KUSOMA ZAIDI BOFYA READ MORE
Sehemu ya Viongozi waliohudhuria sherehe hizo..
Rais mpya na Makamu wake wakisubiri taratibu za kuapishwa..
Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa jukwaa kuu la kuapishia na viongozi wengine...
Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, akikagua gwaride la heshima...
Viongozi wa Kitaifa na Kimataifa wakiwa jukwaa kuu....
Baadhi ya Mawaziri wastaafu na wageni waalikwa wakiwa jukwaani...
Ikishuhswa Bendera ya Rais kuashiria kukabidhi madaraka..
Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Makamu wake Dkt. Bilal jukwaani.
Viongozi wanaostaafu na wanaoapishwa wakiwa jukwaani wakisubiri utaratibu....
Rais akiapishwa,,,,
Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Bilal, akimpongeza Makamu wa Rais mpya, Mama Samia Suluhu baada ya kuapishwa.
Pongezi...
Dua kwa taifa....
Dua kwa taifa...
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Makamu wake, Dkt. Bilal wakiaga..
Wastaafu wakiaga...
Rais Mpya Dkt. Magufuli,akipigiwa mizinga 21..
Rais Dkt Magufuli akikagua gwaride
Dkt.Magufuli akimsalimia mkewe jukwaani baada ya kuapishwa..
Rais Dkt. Magufuli, akiagana na baadhi ya viongozi wakati akiondoka Uwanja wa Taifa.
No comments:
Post a Comment