Habari za Punde

*UNAMKUMBUKA KIPA HUYU ANAYETUNZA KIWANGO HADI LEO?

Ni miaka 13 mfululizo sasa timu ya TP Mazembe, ikiwa na Mataji mawili ya CAF Champions na mataji lukuki ya ligi kuu ya DRC wakiwa na kipa bora Afrika, ROBERT KIDIABA MUTEBA. 
Mpaka sasa kipa huyo ana umri wa miakka 39, akiwa bado ni miongoni mwa wachezaji 10 bora Afrika 2015.
Kidiaba alitua Chama la TP Mazembe mwaka 2002 na hadi sasa  amebaki kuwa kipa namba moja chaguo la kwanza la kocha wa TP Mazembe.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.