Bwana Harusi Aziz Ramadhan, akimsomea dua mkewe, Maimuna Maulid, baada ya kufungishwa ndoa nyumbani kwa wazazi wa Bi Harusi huko Mtoni Mtongani jijini Dar es Salaam, leo Okt 6, 2015.
Maharusi hao wanaendelea na sherehe yao ya ndoa kwenye Ukumbi wa Multipupose uliopo Sinza Lion muda huu.
Wakipozi kwa picha baada ya kuunganishwa na kuwa kitu kimoja...
Wakiwa katika maandalizi ya kuingia ukumbini usiku huu baada ya kupendezeshwa na Saluni ya Best Classic iliyopo Sinza Madukani jijini Dar es Salaam.
Pozi la wapendanao....
Hakika pozi hili hutokea 'Automatical' siku kama ya leo....
Si usingizi la hasha bali ni mapozi ya furaha kwa wapendanao....
Pozi la ukwe -eeeee
Pozi la P Did
No comments:
Post a Comment