Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Mkuu wa Shirika la Bandari Mbarouk Hamadi Mbarouk (wa pili kushoto) wakati alipotembelea Eneo la Ujenzi wa Bandari Mpya ya kisasa Mpigaduri Maruhubi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi itakayojengwa Kampuni ya CHINA HARBOUR ENGINEERING COMPANY LTD (CHEC) kutoka Nchini China,(kushoto) Naibu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi,Picha na Ikulu.
BASATA YAZINDUA RASMI TUZO ZA TMA
-
BARAZA La Sanaa (BASATA) lafungua rasmi dirisha la Kupendekeza Kazi za
Wasanii katika tuzo za Muziki nchini TMA zinazotarajiwa kufanyika Disemba
mwaka huu....
3 hours ago

No comments:
Post a Comment