Mratibu wa Kitaifa wa Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Magonjwa yasiyopewa Kipaumbele, Dkt. Upendo Mwingira akielezea jinsi Serikali inavyojitahidi kupambana na magonjwa hayo, ambayo baadhia yake ni Matende, Mabusha, Minyoo ya Tumbo, Kichocho, Trakoma na Usubi kwa baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii leo jijini Dares Salaam.
Mratibu wa Kitaifa wa Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Magonjwa yasiyopewa Kipaumbele, Dkt. Upendo Mwingira akielezea jinsi Serikali inavyojitahidi kupambana na magonjwa hayo, ambayo baadhia yake ni Matende, Mabusha, Minyoo ya Tumbo, Kichocho, Trakoma na Usubi kwa baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii leo jijini Dares Salaam. Picha na Magreth Kinabo- MAELEZO
No comments:
Post a Comment