Habari za Punde

*NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO DKT. ASHATU KIJAJI AKUTANA NA WATENDAJI WA WIZARA YAKE

  Naibu Waziri, Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akiongea na watendaji wa Wizara na Taasisi alipokutana nao katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango.
Akizungumza na uongozi wa Wizara na Taasisi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji aliwaasa viongozi kutekeleza majukumu waliyokabidhiwa na kuhakikisha bajeti ya Serikali inalenga vipaumbele vinavyogusa wananchi katika kutekeleza  ahadi ya Serikal 
 Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali  Dkt. Servacius Likwelile akitoa ufafanuzi kwa Naibu Waziri Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji kabla ya kuanza majadiliano na watendaji wa Wizara na Taasisi.
Naibu Waziri, Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akijadiliana na watendaji wa Wizara na Taasisi kuhusu masuala mbalimbali ya Wizara pamoja na Taasisi zilizo chini ya Wizara.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.