Sanamu la askari lililopo mtaa wa Samora Posta Dar es salam, likiogeshwa kuelekea maadhimisho ya sherehe za Uhuru, zitakazofanyika kesho nchini kote kwa wananchi kufanya usafi wa mazingira.
Rais na Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan
apiga Kura katika Kituo cha Ofisi ya Kijiji Chamwino mkoani Dodoma
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea wa nafasi ya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM...
4 days ago


No comments:
Post a Comment