Katibu Mkuu
wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka akipanda kwenye moja ya vichwa 4
vya treni ya Tazara vilivyotolewa na Serikali ya China.
Mkurugenzi Mtendaji
wa Mamlaka ya Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) Ronald Phiri, akitia saini
mkataba wa makabidhiano.
Makamu wa Rais wa CCECC kutoka Serikali ya Watu wa China Lin Zhiyong akisaini makabidhiano.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Reli la Tanzania na
Zambia (TAZARA) Ronald Phiri akibadilishan hati za makabidhiano ya mabehewa 18
na vichwa 4 vya treni na Makamu wa Rais wa CCECC kutoka Serikali ya Watu wa
China Lin Zhiyong.
Katibu Mkuu
wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka (katikati) akikata utepe pamoja na
Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Kapijimpanga (kushoto) na Mwakilishi wa
Balozi wa China nchini Tanzania, wakikata utepe kuashiria kukabidhiwa kwa kwa
mabehewa 18 na vichwa 4 kutoka Serikali ya China.
Katibu Mkuu
wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka na Balozi wa Zambia nchini
Tanzania Judith Kapijimpanga, wakielekea kupanda kwenye treni ya kichwa na
mabehewa mapya ya TAZARA.
Moja kati ya mabehewa hayo mapya yanavyoonekana kwa ndani.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka na Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Kapijimpanga (kulia) wakibadilishana mawazo wakiwa ndani ya sehemu ya kulia chakula iliyomo kwenye moja ya behewa jipya.Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji TAZARA, Ronald Phiri na Mwakilishi wa Balozi wa China.
Moja ya
kichwa kipya na mabahewa 18 mapya yaliyokabidhiwa kwa TAZARA.
Moja ya
kichwa kipya na mabahewa 18 mapya yaliyokabidhiwa kwa TAZARA.
Baadhi ya
maafisa kutoka Serikali ya Watu wa China na wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli la
Tanzania na Zambia (TAZARA), wakishuhudia utiaji saini wa makabidhiano ya
mabehewa 18 na vichwa 4 kutoka Serikali ya Watu wa China. Picha na Hussein Makame-MAELEZO











No comments:
Post a Comment