Habari za Punde

*RAIS DKT MAGUFULI ALIPOKUTANA NA VIONGOZI NA WAWAKILISHI WA UMOJA WA SEKTA BINAFSI NCHINI - TPSF IKULU JIJINI DAR

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Viongozi na Wawakilishi wa Umoja wa Sekta Binafsi nchini (Tanzania Private Sector Foundation - TPSF) katika ukumbi wa mkutano wa Ikulu jijini Dar es salaam jana Desemba 3, 2015 
Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.