Habari za Punde

*KAMERA YAMAFOTO MITAANI LEO

 Kijana akipatana biashara na dereva wa gari ndogo maeneo ya Ubungo.....
 Kijana akisaka riziki katikati ya foleni ya magari maeneo ya Ubungo.......
 Kamera haikuweza kutambua kuwa huyu Babu (kulia) alikuwa akipiga miayo kuwa ana njaa ama kiu ya Supu ya pweza aliyokuwa akinywa mwenzake (kushoto)
 Kijana 'akijidunga' Supu ya Pweza maeneo ya Ubungo Darajani...
 Mfanyabiashara akilinda mzigo wake juu ya usafiri wa Toyo maeneo ya Mbagala juzi...
Muuza mitumba akiwa ameuchapa usingizi juu ya meza yake ya nguo za mitumba huku mteja wake akichagua nguo mezani kwake bila yeye kujua kama alivyonaswa na kamera ya Mafoto eneola Ubungo Darajani jijini Dar jana usiku.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.