Habari za Punde

*KIKWETE NA MWAKILISHI MAALUM WA MAREKANI

MWENYEKITI wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete akiwa na Mjumbe Maalum wa Marekani katika Ukanda wa Maziwa Makuu, Thomas Perriello, baada ya mazungumzo yao kuhusu hali ya Burundi, yaliyofanyika jana, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam. Picha na Bashir Nkoromo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.