Mabondia Sadiq Momba (kushoto) na Baina Mazola, wakitambiana baada ya kutia saini mkataba wa kuzipiga march 5 katika ukumbi wa Tasuba Bagamoyo mkoani pwani. Katikati ni promota Muhsin Sharif.
|
Promota wa mchezo wa masumbwi Muhsin Shsaarif (katikati) akiwa na mabondia Sadiq Momba (kushoto) na Baina Mazola baada ya mabondia hao kutiliana saini ya mkataba wa kuzipiga march 5 katika ukumbi wa Tasuba Bagamoyo mkoa wa Pwani.
|
No comments:
Post a Comment