Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Bwana Sylvester Ambokile na Kamishna wa Uhamiaji anayeshughulikia Utawala na fedha Bwana Piniel Mgonja ili kupisha uchunguzi, kufuatia dosari alizozibaini Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mheshimiwa Charles Kitwanga alipotembelea Idara ya Uhamiaji hivi karibuni.
TWIGA STARS YAFUZU WAFCON 2026 SASA YAKODOLEA MABILIONI YA CAF
-
Timu ya Taifa ya Soka ya Wanawake, 'Twiga Stars', imefuzu fainali za Kombe
la mataifa ya Afrika kwa wanawake (WAFCON) 2026, kwa jumla wa mabao 3-0
dh...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment