Habari za Punde

*MJUE MTOTO WA MIAKA 3 ANAYEFUNDISHA SEKONDARI NA KUKOKOTOA HESABU

MTOTO Nice Valentino mwenye umri wa miaka mitatu na miezi tisa, ambaye ana vitu vingi vya kushangaza, ikiwemo kufundisha wanafunzi wa shule za sekondari, ameibuka ndani ya mjengo wa Global Publishers Ltd, Bamaga-Mwenge akiwa na baba yake mzazi na kuanika maajabu saba ya kushangaza, Risasi Jumamosi linakujuza. Credit by Global Publishers Ltd

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.