Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe, Nape Nnauye (kushoto)akimkaribisha Balozi wa
Israel nchini Tanzania Bw.Yahel Vilan, Ofisini kwake wakati alipomtembelea leo jijini
Dar es Salaam.
 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kulia)akifurahia jambo naB Balozi wa
Israel nchini Tanzania Bw.Yahel Vilan alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam, leo. Katika mazungumzo yao wamekubaliana kuimarisha ushirikiano uliokuwepo na kuangalia sehemu Zaidi za kushirikiana katika sekta za Habari na Utamaduni.
Balozi
wa Israel nchini Tanzania Bw.Yahel Vilan( kushoto)akimpongeza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe, Nape Nnauye, 
kwa kuchaguliwa kuwa Waziri pamoja na kumpatia zawadi ya kitabu na kikombe kutoka Israel
alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam.



 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment