Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,
Prof. Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Maafisa Uhamiaji katika Kiwanja cha
Ndege Cha Kimataifa Cha Julius Nyerere(Terminal II), alipotembelea kuangalia
utendaji kazi na vifaa vya Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,
Prof. Makame Mbarawa, akitoa malekezo wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Mhandisi George Sambali (Katikati), alipotembelea
Mamlaka hiyo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, akitoa malekezo wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Mhandisi George Sambali (Katikati), alipotembelea Mamlaka hiyo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof.
Makame Mbarawa, akitoa malekezo wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja
vya Ndege Tanzania (TAA) Mhandisi George Sambali (Katikati), alipotembelea
Mamlaka hiyo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof.
Makame Mbarawa, akizungumza na Mawakala wanaofanya kazi katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), alipotembelea kuona utendaji kazi
wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA).
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,
Prof. Makame Mbarawa, akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Swissport,
Gaudence Temu, wakati alipotembelea Ofisi hiyo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, akisisitiza jambo kwa wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) hawapo pichani, wakati alipoongea nao jijini Dar es Salaam. Picha na Benjamin Sawe- Maelezo







No comments:
Post a Comment