Gari dogo likiwa limeteketea kwa moto pembezeni mwa barabara ya Goba kama lilivyonaswa na kamera ya Mafoto Blog, hivi karibuni. Haikuweza kufahamika mara moja chanzo cha gari hilo kuteketea kwa moto na kubaki frame.
TADB YASHIRIKI UZINDUZI WA WIKI YA CHAKULA DUNIANI KITAIFA MKOANI TANGA
-
Wiki ya Maadhimisho ya Chakula Duniani Kitaifa imefunguliwa rasmi leo
tarehe 11 Oktoba 2025 na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Balozi Batilda
Buriani, katika v...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment