Kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja akiwa juu ya bati akifua na kuanika nguo kama alivyokutwa na Kamera ya Mafoto Blog, eneo la Tandale Sokoni hivi karibuni, haikuweza kufahamika kwa haraka sababu za kijana huyo kufanyia shughuli hizo akiwa juu ya bati.
GO GREEN, SAVE NATURE: MWITO WA PAMOJA WA KULINDA URITHI WA ASILI
-
*Na Mwandishi Wetu, West Kilimanjaro*
*Jamii imetakiwa kushirikiana kikamilifu katika kudhibiti uharibifu wa
mazingira ili kupunguza athari za mabadiliko ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment