Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha kumbukumbu cha maombelezo ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo na mpigania ukombozi Fidel Castro aliyefariki dunia novemba 25,2016 mjini Havana, aliyesimama kushoto ni Balozi wa Cuba nchini Balozi Jorge Luis Lopez Tormo.
Mashindano ya Kumuenzi Lina Nkya Yafana Lugalo Golf Club
-
NAHODHA wa klabu ya gofu ya TPDF Lugalo, Meja Japhet Masai amewapongeza
waandaaji wa mashindano ya Lina PG Tour ambayo amesema kwa mara ya kwanza
yame...
10 minutes ago
No comments:
Post a Comment