Baadhi ya watunisha misuli wakionesha jinsi
ya kutunisha misuli kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)mapema hii leo
jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama cha Watunisha
Misuli Nchini Bw. Francis Mapugilo (kushoto) akisisitiza jambo kwa waandishi wa
habari (hawapo pichani) kuhusu mashindano ya kutafuta bingwa wa kutunisha
misuli nchini Tanzania 2017 mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni
Mshauri wa Ufundi wa Chama hicho Bw. Fike Wilson na (mwisho kulia) Mwenyekiti wa
Kamati ya Mashindano hayo Bw. Nilesh Bhatt.
Baadhi ya watunisha misuli wakionesha jinsi
ya kutunisha misuli kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)mapema hii leo
jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya watunisha misuli wakiwa katika
picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano hayo Bw. Nilesh
Bhatt(kushoto) mapema hii leo jijini Dar es Salaam. Picha
na Eliphace Marwa – Maelezo.
No comments:
Post a Comment