Wanafunzi
wa shule ya sekondari ya Rwambaizi ya Karagwe wakiwa kwenye kiwanja cha ndege cha Bukoba, katika
ziara ya mafunzo.
Baadhi ya madarasa ya shule ya msingi Tumaini
iliyopo kata ya Kashai, wilaya ya Bukoba Mjini ikisubiri kuhamishwa kutokana
na usalama baada ya kuwa karibu na eneo la Kiwanja cha Ndege cha Bukoba.

Baadhi
ya majengo mapya ya madarasa ya shule mpya ya msingi ya Tumaini, yaliyopo
mtaa wa Mafumbo, kata ya Kashai yakiwa kwenye hatua ya mwisho ya ujenzi
wake. Shule hii inamadarasa 24 ya kuanzia darasa la kwanza hadi la Saba,
na madarasa matatu kati ya hayo ni ya watoto wenye mahitaji maalumu.
Abiria
wakiwasilisha taarifa zao ikiwemo na ukaguzi wa tiketi, kabla ya kupanda
ndege ya Auric wakitokea kwenye
kiwanja cha ndege cha Bukoba wakielekea Mwanza.
Msimamizi
wa Kitengo cha Usalama, Bi. Theodora Myaka wa Kiwanja cha ndege cha Bukoba
(kushoto) akimkagua abiria Bi. Jasmindee Dhaliwa, Raia wa Bulgaria huku Afisa
Usalama Msaidizi, Bw. Reginald Baraka akiangalia.

No comments:
Post a Comment