Nyumba zilizopo mitaa ya Jangwani jijini Dar es Salaam, zikiwa zimezungukwa na maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini.

Mkazi wa Mtaa wa Jangwani jijini Dar es Salaam, akiwa na familia yake kwenye kibaraza cha nyumba yao iliyozungukwa na maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment