Kina mama wafanyabiashara wa Kikundi cha Wakamua Utumbo wa Kuku, katika Soko la Mtambani jijini Kinondoni jijini Dar es Salaam, wakiwa bize kuandaa biashara yao ya Miguu, Utumbo na Vichwa vya Kuku kama walivyokutwa na Kamera ya Mafoto Blog leo mchna katika Soko hilo.
WAZIRI KIKWETE AWATAKA TPSC KUFANYA TAFITI ZITAKAZOSAIDIA KUBORESHA
UTUMISHI WA UMMA NCHINI
-
Na Eric Amani-Dar es Salaam Tarehe 27 Novemba, 2025
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe. Ridhiwani Kik...
1 hour ago


No comments:
Post a Comment