Wafanyabiashara wa Pilipili ya kupika wakisubiri wateja nje ya Soko la Kivukoni eneo la Kituo cha Mabasi ya Mwendo kasi, kama walivyokutwa na mpiga picha wetu jijini Dar es Salaam, jana. Kina mama hao wameulalamikia uongozi wa Soko hilo kwa kuwaamuru walinzi shirikishi kuwafukuza eneo hilo na wengine kuwanyang'anya biashra zao kwa madai ya kutowahitaji katika eneo hilo.
PIGABET YAMKABIDHI MSHINDI GARI JIPYA KUPITIA KAMPENI YA SHINDA NDINGA
-
Kampuni ya michezo ya kubashiri ya Pigabet jana ilikabidhi rasmi gari jipya
aina ya Toyota IST kwa mshindi wa kampeni yake ya Shinda Ndinga, David
Jim...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment