Vijana wakichimba mchanga kwenye Mto Msimbazi eneo la Magomeni Mzimuni, jijini Dar es Salaam, kama walivyonaswa na kamera ya Mafoto Blog jana. Pamoja na serikali kupiga marufuku uchimbaji hovyo wa mchanga lakini bado kumekuwa na vijana wengi nyakati za mvua kuchimba kiholela mchanga katika mito jambo ambalo linasababisha uharibifu wa mazingira.
TANZANIA YAIDUWAZA NEW ZEALAND KATIKA FUTSAL, KOCHA APONGEZA TIMU
-
Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya wanawake ya Futsal, Curtis Reid, ametoa
pongezi za dhati kwa wachezaji wake kufuatia ushindi wa kihistoria wa mabao
4-2...
8 hours ago

No comments:
Post a Comment