Mchuuzi wa Miwa, Mwanamama akipita mitaani na biashara yake kusaka wateja kama alivyonaswa na kamera ya Mafoto Blog, mitaa ya Sinza jijini Dar es Salaam, jana.
Kura huchagiza Maendeleo ya Taifa: Kutoka Ahadi Hadi Utekelezaji
-
Na Mwandishi Wetu
Kura ndio msingi wa maamuzi ya nchi, kura hutumika kuchagua chama
kinachotoa ilani na viongozi wanaowajibika kuitimiza. Kura yako ...
4 minutes ago
No comments:
Post a Comment