Mshambuliaji wa Yanga SC, Simon Msuva, akipiga mpira katikati ya mabeki wa Kagera Sugar, Mohamed Fakii (kulia) na Mwaita Gereza, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jana. Katika mchezo huo Yanga walishinda mabao 2-1 na kufikisha Pointi 62 sawa na Mahasimu wao Simba, huku wakitofautiana kwa mabao.
Mshambuliaji wa Yanga SC, Simon Msuva, akipiga mpira katikati ya mabeki wa Kagera Sugar, Mohamed Fakii (kulia) na Mwaita Gereza, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jana.

Niyonzima akimfinya Ame Ally
Mwashiuya akijaribu kupenya katikati ya msitu wa Kagera Sugar
Beki wa Yanga, Hassan Kessy, akipiga krosi, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jana.
Ilikuwa hapatoshi kati ya Chirwa na Fakii
Mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa akiwania mpira na beki wa Kagera Sugar, Mwaita Gereza, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jana.
Kipa wa Kagera Sugar, Juma Kaseja, akiruka kuokoa mpira wa hatari langoni kwake, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jana. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Chirwa akijilaumu baada ya kuksa bao la wazi
Wote chini na bado Chirwa alikosa bao la wazi
Mabeki wa Kagera wakiduwaa baada ya mpira kupenya katikati yao
Mbaraka Yusuph (katikati) na Ame Ally (kulia) wakimdhibiti Juma Abdul
Juma Abdul, akipiga krosi
Beki wa Yanga, Hassan Kessy, akipiga krosi, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jana.
Viongozi wa Kagera Sugar wakimzonga mlinzi wa uwanjani baada ya mchezo huo
Askari wakijaribu kuwazuia Viongozi wa Kagera Sugar
Mbara Yusuph akilalamika baada ya kupewa kadi nyekundu
Mbaraka akisindikizwa na walinzi baada ya kupewa kadi nyekundu
Msuva akishangilia bao lake




























No comments:
Post a Comment