Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. Tulia Ackson akiongoza kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.

Wabunge wakijadili jambo katika kikao cha
Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Wabunge wakijadili jambo katika kikao cha
Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Prof,Palamagamba
Kabudi akizungumza jambo na Mbunge wa
Arusha Mjini Mhe.Godblesss Lema katika kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAP
Mbunge wa Geita Vijijini Mhe.Joseph Kasheku
Msukuma akiuliza swali katika kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Wabunge wakifuatilia hoja mbalimbali katika
kipindi cha maswali na majibu katika
kikao cha ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza na
Mbunge wa Jimbo la Ilala Mhe.Mussa Azzan Zungu katika kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera,Bunge,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akitoa hoja bungeni kuhusu uchaguzi wa wabunge wa Bunge la
Afrika Mashariki utakaofanyika leo jioni katika
kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Mbunge wa Makambako (CCM) Mhe.Deo Sanga akiuliza
swali katika kikao cha Ishirini na moja
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Naibu
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe.Eng,Stella Manyanya akijibu hoja
Mbalimbali za Wabunge katika kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017.
Mbunge wa Kawe Mhe.Halima Mdee akiuliza swali
katika kikao cha Ishirini na moja cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma.
Wabunge wakifuatilia hoja mbalimbali katika
kipindi cha maswali na majibu katika
kikao cha ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma
Kiongozi Mkuu wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai Mhe.Freeman Mbowe akiwa na Waziri kivuli wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Hamidu Bobali wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Greyson Lwenge katika kikao cha ishirini na moja cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Naibu
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe.Eng,Stella Manyanya akijibu hoja
Mbalimbali za Wabunge katika kikao cha Ishirini na moja cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 10, 2017. Picha
Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA













No comments:
Post a Comment