Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi
mbalimbali wa Serikali akiwemo Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa, Waziri wa Ardhi William Lukuvi, Waziri wa Katiba na Sheria Profesa
Palamagamba Kabudi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi kuhusu
uamuzi wake wa kuifuta Mamlaka ya
Ustawishaji Makao Makuu CDA,tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kabla
ya kusaini Amri ya Rais (Presidential Order) kuifuta Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA,tukio
lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Viongozi
mbalimbali wa Serikali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana
wakifatilia kwa makini Hotuba ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya
kutia saini Amri ya Rais (Presidential Order) kuifuta Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDADodoma
,tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais
Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Ardhi William
Lukuvi wakifatilia kwa makini wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza mara baada ya kuifuta Mamlaka ya
Ustawishaji Makao Makuu CDA,tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment