Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harisson Mwakyembe (Kushoto) akipokea
Hundi ya Shillingi milioni 50 kutoka kwa Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji
wa Kampuni ya SportPesa Bw. Tarimba
Abbas( kulia) kwa ajili ya kuisadia timu ya mpira ya vijana chini ya miaka 17
(Serengeti Boys) leo Jijini Dar es Salaam, katika ni Mkurugenzi wa Michezo Bw.
Yussuph Singo
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harisson Mwakyembe (Kushoto) akitoa neno la shukrani baada ya kupokea Hundi ya Shillingi milioni 50 kutoka kwa Kampuni ya SportPesa kwajili ya kuisadia timu ya mpira ya vijana chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) leo Jijini Dar es Salaam, kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji wa Kampuni hiyo Bw. Tarimba Abbas.
TUJITOKEZE KUPIGA KURA, TUACHE PROPAGANDA ZISIZO NA MAANA
-
Na Emmanuel Mbatilo, Michuzi Tv- 0673956262
TUKIWA katika kipindi cha Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29,
2025, kumekuwa na hali tofauti kutoka...
35 minutes ago
No comments:
Post a Comment