Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo wakati akitangaza rasmi kuzindua Tamasha la 'Tulia Traditional Dances Festival 2018' linalofanyika kila mwaka Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya, pamoja na kuwashukuru wadhamini waliofanikisha Tamasha lililofanyika Mwezi Septemba mwaka huu Tukuyu. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi wa Utamaduni, Lilly Beleko, aliyemwakilisha Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo (kulia) ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Air Tanzania, Ladislaus Matindi. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
Mkutano ukiendelea...
Sehemu ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo.
Mkurugenzi wa Montage Ltd, Teddy Mapunda, akiongoza shughuli hiyo
Mwandishi wa Star Tv, Benny Mwanantala, akiuliza maswali
Mwandishi wa The Cityzen, Majuto Omary, akiuliza maswali.....
Mwandishi wa Channel Ten, Said Makala, akiuliza maswali.







No comments:
Post a Comment