Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Mkuu wa Mkoa
wa Mwanza John Mongella pamoja na viongozi mbalimbali akikata utepe kuashiria
ufunguzi wa Daraja la Waenda kwa miguu la Furahisha liliopo jijini Mwanza, leo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Mkuu wa Mkoa
wa Mwanza John Mongella pamoja na viongozi mbalimbali,wakifurahia baada ya kukata utepe huo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi mbalimbali wakifunua kuweka jiwe la msingi kufungua Daraja la Waenda kwa miguu la
Furahisha liliopo jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
TanzaniaMhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa mara baada ya kufungua daraja la Waenda kwa
miguu la Furahisha jijini Mwanza.
Sehemu
ya wananchi waliohudhuria ufunguzi wa daraja la Waenda kwa miguu la Furahisha
jijini Mwanza
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wananchi kabla ya ufunguzi wa daraja la Waenda kwa miguu la Furahisha jijini
Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma na kikundi cha ngoma za
asili cha jijini Mwanza mara baada ya ufunguzi wa daraja la Waenda kwa miguu la
Furahisha jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia pamoja na wananchi
waliohudhuria katika sherehe za ufunguzi wa wa daraja la Waenda kwa miguu la
Furahisha jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wakati akiwaaga mara baada ya ufunguzi wa Daraja hilo la Furahisha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
TanzaniaMhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli
wakiwapungia mkono wananchi waliopo chini ya Daraja la Furahisha (hawaonekani
pichani ) Mara baada ya ufunguzi wa daraja hilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi
na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kabla ya ufunguzi wa daraja hilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwaaga wananchi katika eneo la Daraja la Furahisha jijini Mwanza mara baada ya ufunguzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli
wakipanda ngazi za Daraja hilo jipya la Furahisha jijini Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Mwanza
John Mongella mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Miundombinu kutoka chama cha CUF Zuberi Kuchauka mara baada ya kuhutubia wananchi katika eneo la Furahisha jijini Mwanza.















No comments:
Post a Comment