Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Naibu Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani katika kikao na ujumbe wa wataalamu wa Sekta ya Nishati toka nchini Uganda na Tanzania waliompatia taarifa ya maendeleo ya utafiti wa mafuta katika bonde la bonde la ufa ya Eyasi Wembere la Ziwa Tanganyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2017. Picha na Ikulu
TADB YASHIRIKI UZINDUZI WA WIKI YA CHAKULA DUNIANI KITAIFA MKOANI TANGA
-
Wiki ya Maadhimisho ya Chakula Duniani Kitaifa imefunguliwa rasmi leo
tarehe 11 Oktoba 2025 na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Balozi Batilda
Buriani, katika v...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment