Habari za Punde

RAIS MAFUGULI AFUNGUA NA KULIHUTUBIA BUNGE JIJINI DODOMA

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John  Pombe Magufuli, akikagua gwaride la heshima katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma jana wakati alipofika kulihutubia Bunge na kufungua rasmi Bunge la 12 ili kuanza rasmi vikao vya Bunge. Picha na Muhidin Sufini)
Wimbo wa TaifaSpika wa Bunge, Job Ndugai na Naibu wake wakiwa sambamba na baadhi ya viongozi wakati wa mapokezi ya Rais Magufuli katika Viwanja vya Bunge.Rais akiongozwa na Spika wa Bunge Job Ndugai kuingia ndani ya Ukumbi wa Bunge kwa ajili ya kulihutubia Bunge, jana.Baadhi ya Viongozi wastaafu, Ally Hassan Mwinyi (kushoto) Jakaya Mrisho Kikwete, John Macela na Dkt. Gharib Bilal, wakiwa ndani ya ukumbi huo.Rais Magufuli akilihutubia Bunge.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan (kulia), Rais wa Zanzibar, Hussein Ally Mwinyi Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, na Naibu Spika wa Bunge wakiwa ndani ya Ukumbi huo.Baadhi ya Viongozi wa CCM Taifa wakiwa ndani ya Ukumbi huo,Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Lyatonga Mlema, akiwa ndani ya Ukumbi huoBaadhi ya Wabunge ndani ya Ukumbi huo.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.