Habari za Punde

WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI WAFUNDWA KESHO KUJIONEA MIUNDOMBINU YA TRC

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Gabriel Migire, akizungumza wakati akifungua Semina ya Wahariri wa Vyombo vya Habari vya Tanzania, yenye lengo la utoaji wa Tarifa sahihi kwa wakati kwa maendeleo ya Taifa, iliyoandaliwa na Shirika la Reli TAnzania kwenye ukumbi wa Hoteli ya City Garden Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania, Masanja Kadogosa. (Picha na Muhidin Sufiani)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Gabriel Migire (katikati waliokaa mbele) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania, Masanja Kadogosa (kushoto) na Msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wahariri wa Vyombo vya habari vya Tanzania, wakati wa Semina Wahariri wa Vyombo hivyo iliyoandaliwa na Shirika la Reli Tanzania, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya City Garden Dar es Salaam.
MKurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania, MAsanja Kadogosa, akifafnua jambo kwa Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya Habari wakati wa Semina maalumu kwa wahariri hao iliyofanyika katika Hoteli ya City Garden Dar es Salaam, leo.
Baadhi ya Wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakimsikiliza kwa makini Mkuru Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania, Masanja Kadogosa, wakati akiendesha Semina maalumu kwa Wahariri hao iliyofanyika katika Hoteli ya City Garden leo mchana.
Afisa Uhusiano wa Shirika la Reli Tanzania, Jamila Mbarouk, akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Gabriel Migire, wakati wa semina hiyo.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.