Habari za Punde

*BEATRICE SINGH ATWAA TAJI LA MISS KANDA YA KATI 2010

Miss Kanda ya Kati 2010, Beatrice Singh (katikati) akiwa na washindi wenzake, mshindi wa pili
Wilani Etami (kushoto) na watatu, Pili Issa baada ya kutangazwa washindi wa shindano hilo lililofanyika mjini Dodoma usiku wa kuamkia jana.
Naibu waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo, Joel Bendera, akimkabidhi zawadi ya kitita cha Sh. millioni 1, Miss Kanda ya kati, Beatrice Singh, baada ya kutangazwa mshindi katika shindano hilo lililofanyika mjini Dodoma juzi.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.