
Rais wa Msumbiji, Armando Emilio Gaebuza, akizungumza katika hadhara ya Sherehe za Kutimiza miaka 35 ya Uhuru wa Nchi hiyo, zilizofanyika katika uwanja wa Uhuru,Mjini Maputo.

Rais wa Msumbiji Armando Emilio Gaebuza, akipokea Mwenge baada ya kukimbizwa Nchi nzima na vijana kufikia kilele chake katika sherehe za kutimia miaka 35 ya Uhuru wa nchi hiyo, zilizofanyika katika uwanja wa Uhuru,Mjini Maputo.

Rais wa Msumbiji Armando Emilio Gaebuza, akiwa na Mkewe wakiwapungia mikono maelfu ya wananchi waliopita mbele kwa maandamano ya kuadhimisha Sherehe za Miaka 35 ya Uhuru wa nchi hiyo, sherehe hizi zilifanyika juzi katika uwanja wa Uhuru,Maputo Msumbiji.

Wananchi wakiwa wamebeba mabango yenye,kutoa ujumbe wa kuitakia mema nchi yao katika sherehe za miaka 35 ya Uhuru wa Msumbiji ,zilizofanyika katika viwanja vya Uhuru,Mjini Maputo.
Picha na Ramadhan Othman, Msumbiji
No comments:
Post a Comment