Habari za Punde

*VODACOM YAZINDUA KITUO KIPYA CHA HUDUMA YA M-PESA KARIAKOO

Meneja Mauzo wa kanda ya pwani wa Vodacom Tanzania Atilio Lupala (katikati) Meneja Masoko na Mauzo wa Planet Commonication LTD Paul Bwanahama (Kulia) na Afisa Mauzo wa Planet Commonication Ltd Victoria Kristosi wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka la wakala wa M-PESA katika mtaa wa Msimbazi Kariakoo jijini Dar es Salaam.duka hilo litakuwalikitoa huduma ya M-pesa kwa masaa 24.

Wateja wakipatiwa huduma ya M-Pesa katika kituo hicho, baada ya kufungulia rasmi.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.