Habari za Punde

*JAMANI WADAU TUWE NA UTARATIBU WA KUMALIZIA JAMBO HAYA TUFANYE....

Ndugu zangu!!!

Ukitaka umpendae asikuache lazima MFANYE KILA WAKATI !!

Ukimkuta Sebuleni kapumzika timiza wajibu wako muombe MFANYE !!

Akiwa amelala muamshe MFANYE !!

Hata kama amechoka au anaumwa muombe kidogo MFANYE !!

Mkiamka asubuhi kabla ya kwenda Kazini muombe MFANYE !!

Akirudi mchana kula Lunch muombe MFANYE !!

Ukimuona mwenzio hana kazi ya kufanya basi muombe kidogo MFANYE !!!

Kila mkipata nafasi muombe mwenzio MFANYE !!

FANYENI BILA KUCHOKA, ikiwezekana KESHENI MNAFANYA !!!!

JAMANI NASEMA FANYENI IBADA KILA WAKATI.

MLIKUWA MNAFIKIRI NINI??

HAAA HAAA HAAA ACHENI MAWAZO POTOFU !!!!!!!!

KILA KITU TUMTEGEMEE ALLAH!!!!!!!!

Mtu wa Mungu, unasema that’s good one , wakati umeishia kwenye maneno ya
“FANYENI BILA KUCHOKA, ikiwezekana KESHENI MNAFANYA !!!”
Hahahaaaaaaaaa! kweli! Lazima utakuwa uliwaza vinginevyo kabisaaaaaa! sema tu kweli!
Duh!

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.