Habari za Punde

*JK ARUDISHA FOMU ZA URAIS MJINI DODOMA LEO

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Jakaya Kikwete, akirudisha fomu ya kugombea nafasi ya urais kwa Katibu Mkuu wa Chama hicho, Yusuf Makamba wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika Makao Makuu ya Chama hicho mjini Dodoma leo.
"Eti hawa nao pia walikuwapo, Si fitina ya Soka tu bali hata Siasa wamo"
Katibu Mkuu wa Shirikisho la mpira wa miguu nchini, Federick Mwakalebela na anayemaliza muda wake wa uenyekiti wa klabu ya Yanga ya Dar es Salaam wakifurahi jambo wakati Mwenyekiti wa CCM na mgombea Urais kupitia Chama hicho, Jakaya Kikwete akirudisha fomu mjini Dodoma leo.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.