Habari za Punde

*VODACOM YATOA MSAADA WA VYANDARUA 13,000 MKOANI SINGIDA

Meneja wa Mfuko wa Vodacom Yessaya Mwakifulefule akimkabidhi moja kati ya 1,300 , Esta Aron akiwa na mwanae mwenye umri wa miezi 6 Peter William, ambaye ni mmoja wa Wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya akina mama katika hospitali ya Wilaya ya Iramba iliyopo Kiomboi mkoani Singida. Mfuko huo ulitoa msaada wa jumla ya Vyandarua 1,300 katika mkoa huo kwa ajili ya kuwagaia wagonjwa wa wilaya hiyo.

Meneja wa Mfuko wa Vodacom Yessaya Mwakifulefule (wa pili kushoto) akiwakabidhi sehemu ya vyandarua na kufurahia pamoja na wauguzi wa hospitali ya Wilaya ya Iramba iliyopo Kiomboi Mkoani singida baada ya kukabidhi msaada wa Vyandarua 1,300 katika mkoa huo vyenye thamani ya shilingi Milion 10 katika hospitali hiyo.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.