Habari za Punde

*JK AFUNGUA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA NEC DODOMA LEO

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Dodoma kuhudhuria na kufungua kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM NEC leo mchna, ambapo sasa ndiyo itajulikana mbivu na mbichi baada ya kukatwa majina wagombea nafasi ya urais waliokwishachukua fomu. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu


Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akifungua Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.